Nahitaji mwenza/Mpenzi/Rafiki wa kike

Nahitaji mwenza/Mpenzi/Rafiki wa kike

Ellon

Member
Joined
Jan 7, 2021
Posts
80
Reaction score
124
Ninahitaji mpenzi jinsia ya kike anayependa kampani na dating.
Umri wangu 25
Dini Mkristo
Elimu Degree
Rangi Mweupe kihasi
Urefu wastani
Mwili mwembamba
Sina ajira nabangaiza
Naishi DSM/Kawe

Natafuta jinsia ya kike anaependa kampani, tutakuwa pamoja tukiendana tufunge ndoa in Future, Awe Umri 19-30
 
Sasa huna pesa , huna ajira unataka mtoto wa watu umpeleke wapi na umfanye nini??
 
Tafuta pesa kaka kampani itakuja yenyewe t
Degree saivi hata madrasa wanaipata😅😅
 
Back
Top Bottom