Nahitaji mwenza wa Maisha (mwanaume)

Nakushauri nenda kwa Shekhe ama Ustadhi madrasa ya wanawake utapata mume haraka sana. Humu hakuna ndoa utapoteza muda wako tu. Njoo pm nikuuganishe na group la kiislamu kuoa na kuolewa. Kama unakuja kudanga huku sawa ila hakuna ndoa huku.
 
Baba wa mtoto yupo? Kama bahati mbaya alifariki kaburi lipo na je Cd au mkanda wa mazishi upo?
Bichwa kama flampeni,
Hivi unaona kabisa ni maneno ya kuuliza humu haya? Si uende PM?
Rubbish, kichwani umebeba mende, wewe bila shaka ni mganga wa kienyeji.

Mtoa mada ana wewe kua makini, kuna mwenzako naye juzi tuu hapa alikuja kulalamika, walitongozana humu kilichompata ndio malalamiko aliyoleta.
 
Wazee wa kusoma gazeti jioni mnakaribishwa huku. Umejipambanua vizuri sana huhitaji ndoa unahitaji Mwenza hii iko safi no attachments
 
Nakushauri nenda kwa Shekhe ama Ustadhi madrasa ya wanawake utapata mume haraka sana. Humu hakuna ndoa utapoteza muda wako tu. Njoo pm nikuuganishe na group la kiislamu kuoa na kuolewa. Kama unakuja kudanga huku sawa ila hakuna ndoa huku.

Huko akubali ndoa ya matara, awe ready kuwa mke wa pili atapata mume faster tuu
 
Acha makasiriko mzee tatizo la watanzania hampend maswali magumu
 
Mwenyezimungu ajibu dhamira ya moyoni mwako, InshaAllah
 
Nakushauri nenda kwa Shekhe ama Ustadhi madrasa ya wanawake utapata mume haraka sana. Humu hakuna ndoa utapoteza muda wako tu. Njoo pm nikuuganishe na group la kiislamu kuoa na kuolewa. Kama unakuja kudanga huku sawa ila hakuna ndoa huku.
Ndoa zipo sana tumia ushauli wako vizuri siyo kukatisha tamaa watu ndoa zipo sana
 
Na hizi aidiiii fekiii๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ enewei kila kitu ni sawa katika ulimwengu,juu kama chini,chini kama juu tu....
Je sauti yako ya ndani imekuambia huku kuna mtu huyo unayehitaji ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ