Nahitaji mwenza wa Maisha (mwanaume)

Mimi ni binti wa miaka 30, muislamu, naishi Dar es Salaam, ni mwajiriwa wa sekta binafsi na ni mama wa mtoto mmoja nipo single nahitaji mwenza wa maisha ikiwa heri tuishi pamoja...
Njoo pm fasta mama nilikuwa nakusubiri wewe tu
 
Mimi ni binti wa miaka 30, muislamu, naishi Dar es Salaam, ni mwajiriwa wa sekta binafsi na ni mama wa mtoto mmoja nipo single nahitaji mwenza wa maisha ikiwa heri tuishi pamoja...
Wewe ni "Muislam" jina tu.
 
Umri sasa. Hiyo mwili wa kawaida na kimo cha kawaida fresh, jicho chanya fresh ila umri sasa
 
Nakushauri nenda kwa Shekhe ama Ustadhi madrasa ya wanawake utapata mume haraka sana. Humu hakuna ndoa utapoteza muda wako tu. Njoo pm nikuuganishe na group la kiislamu kuoa na kuolewa. Kama unakuja kudanga huku sawa ila hakuna ndoa huku.
Nafikiri kila mtu na bahati yake,wapo watu wamepata wachumba humu na wamefunga nao ndoa Hadi Leo hii wanadumu,wapo wengine wapo kwenye uchumba kuelekea ndoani,sio wanawake wote wanaokuja huku wanadanga,no kuna waliopo serious,na pia wapo wanaume wapo smart sana,wana Nia kweli ya kuoa,so kila mtu na bahati yake,hatuwezi kujua Nini kimemsukuma muhusika kuja kutafuta huku,labda Mungu mwenyewe kamuongoza kuwa huku ndiko aliko mwenza wake.
 
Asalam alykm nimeona meseji yako mimi nilo tayari kama hujapata nitafute kwa namba 0628246521
 
Sasa waganga tumekosea nini hapa.
 
Ukiwa tayari nicheki nikuunge na ndugu angu..
Yeye umri: 50
Elimu : Mwalimu
Dini :Muslim..
Ukiwa serious lakini.
 
Mbona ujaandika awe tayari kunipenda mimi na mtoto wangu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…