Nahitaji mwenza wa maisha.

Sawa kabisa mpendwa. na hapa Jf watu wengi tumeficha our real id.
 
Chrispin, nadhani umeamua tu kunione mimi, hebu soma hapo chini.........mimi nakwambia huyo mtafuta mwenza ni MWANAMKE na huyo mwenza anayetafutwa ni mwanaume a.k.a MUME

Wewe dada Sofia wengine tumeolewa tukiwa na 40 wala hatukuhofu umri kukimbia .. sasa tunaonja maisha katika mwanga bora .....
heheheh hapa JF utampata tu mwenza wako usihofu..
lakini pia usisahau kuomba upate mme mwema

Hujachelewa mama utampata tu ila usiwe na masharity kibao we omba Mungu akupe mwenza mwema. Umri usiwe na shida b'se age is nothing but a number!

Mbona hilo neno lenyewe limebeba mambo mengi mno?

Nways kila la kheri; bahati mbaya dini yangu hairuhusu mke wa pili ningekuombea ruhusa ka mama jr

Chrispin, nadhani umeamua tu kunione mimi, hebu soma hapo chini.........mimi nakwambia huyo mtafuta mwenza ni MWANAMKE na huyo mwenza anayetafutwa ni mwanaume a.k.a MUME

Sikuonei kiongozi. Hao nao wameingia mkenge kama wewe. Ukiondoa kukamatwa na jina Sista Sophia, hakuna sehemu inayoonyesha kama anatafuta mume. Hebu assume angetumia jina la KINDOKAULA. Ingekuwaje hapo? Anyway, ni challenge tu. Humu kuna midume inatumia majina ya kike and vice versa! Nimekugongea senksi mkuu, kwa research uliyoifanya ya kugundua wenzio walioingia mtegoni.
 
Hivi hawa wanaotafuta wachuimba humu wako serous? I 100% daught that!!! Inamaana mwenye hivyo vigezo akija unamkubali sio? I have my big bro bado hajaoa na vigezo hivyo anavyo ni Pm no. yako ya tigo nimpatie atakupigia!!
 
Mwingine huyu hapa!
Nani kakuambia anatafuta mume?
 
Mwingine huyu hapa!
Nani kakuambia anatafuta mume?

Msasha huoni kama anacheza na akili zetu!! Mimi nimechukulia jina! Kama ni mwanaume anajiita sister Sophia basi atakua wale wale wanaume wanao olewa!! Ila miaka 29 unatafuta mchumba ranging 50years and Below!! lol
 
Hivi hawa wanaotafuta wachuimba humu wako serous? I 100% daught that!!! Inamaana mwenye hivyo vigezo akija unamkubali sio? I have my big bro bado hajaoa na vigezo hivyo anavyo ni Pm no. yako ya tigo nimpatie atakupigia!!

Why number ya tigo? And what if hana namba ya tigo? Au una maana nyingine? 🙂
 
Ulishapendwa! pamoja na vituko vyako vyote vya kudumisha mila. mie cjambo laazizi . hofu na mashaka ni kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu.

Mmmh! Hilo neno hapo kwenye red linanifanya nim miss Nyamayao wangu maradufu! Laaziz uko wapi jamani? Leo hali ya hewa ni mawingu mawingu kidogo! 🙂
 
dah unatafuta mume,
kuna mahali ulibugi dada yangu
au hiyo mathitadhi ilikuwa inakusumbua

naona kama uliwahi kukataa mume wewe
sio bure mtu una shule yako halafu ukose mume lazima kuna mahali uliharibu sasa unaona jua linazama ndo unaanza kutafuta hata kwa njia hii

Ama kweli jalibu la mwanamkw la kutokuolewa kwa wakti ni kubwa sana na gumu
 
Hivi hawa wanaotafuta wachuimba humu wako serous? I 100% daught that!!! Inamaana mwenye hivyo vigezo akija unamkubali sio? I have my big bro bado hajaoa na vigezo hivyo anavyo ni Pm no. yako ya tigo nimpatie atakupigia!!

Eti VIVIAN ulimaanisha nini hapa?
 
im still waiting for your pm, kindly please hurry!
 
Msasha huoni kama anacheza na akili zetu!! Mimi nimechukulia jina! Kama ni mwanaume anajiita sister Sophia basi atakua wale wale wanaume wanao olewa!! Ila miaka 29 unatafuta mchumba ranging 50years and Below!! lol

Kwa hiyo angekuwa anaitwa anti Oliver? Na je kama yeye ni msagaji anatafuta mwanamke mwenzie? Kumbuka hajasema anatafuta MME bali MWENZA! Stuka mshiki!
 
Ulishapendwa! pamoja na vituko vyako vyote vya kudumisha mila. mie cjambo laazizi . hofu na mashaka ni kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu.

Hahaha bibie! Usijali mila zitadumishwa lakini penzi litabakia kwako peke yako.
 
Naomba nikuulize swali sista sophia. Umeshawahi kuwa na boyfriend?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…