Sista Sophia
Member
- Feb 6, 2010
- 50
- 26
- Thread starter
-
- #101
Mimi ni mwanamke nadhani jina limejieleza vya kutosha. I'm very serious msione natania hapa.
Hadi nimefikia kuweka thread ujue nipo serious,nahitaji mwanaume ambaye yupo serious.
Kuna baadhi wametuma PM zao wanataka niwe mke wa pili, mie sipo tayari kuwa mke wa pili ndio maana nipo tayari hata kubadili dini niwe mke pekee kwa huyo atakayekuja kuwa mume wangu. Kama una mke tayari wala usijihangaishe kutuma PM.
kwanini ubadirishe dini yako? kwani yeye hawezi kuamini anacho amini na wewe ukaamini unacho amini?>Awe na dini yoyote, mie muislamu ila naweza kubadili dini nikipata mkrist[/FONT].
Kama unaweza ukamuacha MUNGU wako............. huyo mume si utamuacha pia......???
Habari zenu wana jamii forums.
Jamani mwenzenu nahitaji mwenza,umri unanituma mkono.
>Umri wowote ule isiwe zaidi ya 50.Mie nina 29 years old almost kama 30 hivyo naona umri unakimbia.
>Awe na dini yoyote, mie muislamu ila naweza kubadili dini nikipata mkristo.
>Elimu atleast awe na bachelor, mimi nina masters.
>Awe mtu anayejipenda, i mean awe smart.
Sina mengi zaidi ni hayo tu.Mwenye sifa atume maombi.
Hivi hawa wanaotafuta wachuimba humu wako serous? I 100% daught that!!! Inamaana mwenye hivyo vigezo akija unamkubali sio? I have my big bro bado hajaoa na vigezo hivyo anavyo ni Pm no. yako ya tigo nimpatie atakupigia!!
Mimi ni mwanamke nadhani jina limejieleza vya kutosha. I'm very serious msione natania hapa.
Hadi nimefikia kuweka thread ujue nipo serious,nahitaji mwanaume ambaye yupo serious.
Kuna baadhi wametuma PM zao wanataka niwe mke wa pili, mie sipo tayari kuwa mke wa pili ndio maana nipo tayari hata kubadili dini niwe mke pekee kwa huyo atakayekuja kuwa mume wangu. Kama una mke tayari wala usijihangaishe kutuma PM.
Wewe dada Sofia wengine tumeolewa tukiwa na 40 wala hatukuhofu umri kukimbia .. sasa tunaonja maisha katika mwanga bora .....
heheheh hapa JF utampata tu mwenza wako usihofu..
lakini pia usisahau kuomba upate mme mwema
I hope you get one in here. Dont give up, you are still so young.
Kama unaweza ukamuacha MUNGU wako............. huyo mume si utamuacha pia......???
nimechelewa kuingia humu ila ukweli ni kuwa unachosema ni probability. Dadaangu huyo akiona vipi atafute mwanaume wa chaguo lake na azae nae japo mtoto mmoja bila kuhusisha masuala ya ndoa. Wengi tu wako hivyo
Let us not treat women as beings of less value. Hii opinion/advise is quite low ndugu yangu.