Nahitaji mwenza

Erick11

Member
Joined
Jun 1, 2024
Posts
22
Reaction score
39
Habari za weekend ndugu zangu,

Kuna muda kwenye Maisha unahitaji mtu sahihi wa Ku share naye upendo na mapenzi yako, mtu ambaye atakudekea, utamdekeza, utampenda na kumuheshimu, ujisikie furaha akikusifia na kukubali penz nzuri lisilo na maumivu, na wish nikutane na mdada ambaye anapenda kupendwa nimpende, anayependa kuliwazwa nimliwaze, anayependa kufurahia mapenz na mahusiano nikufurahishe na kukusahaulisha panda shuka zote ulizowahi kupitia katika mahusiano.

Mwanamke flan unayejitambua na kujiamini ndiyo nayekuhitaji, na pia mwenye hutaji na utayari wa mahusiano ya furaha na Amani, nitakupa time yangu na Ku share kila kizuri cha mahusiano.

Sibagui kabila wala dini Mimi ni mkristo wa miaka 36 naishi Dar es salaam lakini nipo tayari Ku date ma mpenz wangu wa kutoka mkoa wowote.

Kwa lugha nyingne nzuri natafuta Mwenza hapa ndugu zangu, hata kama sio wewe ni ndugu au rafiki yako naomba connection nitashukuru saana! Naomba niwakaribishe PM yangu ipo wazi, na nikipata nitarudi na mrejesho hapa.

Asante saana
 
Sex is not Love
 
Kila la kheri mkuu
 
Tangazo lako halijakamilika Erick11 Wewe ni mweupe au mweusi? Kabila lako? Umeajiriwa au umejiajiri? Je ni single father ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…