NGOMEKONGWE2021
JF-Expert Member
- Dec 6, 2021
- 616
- 1,225
Watu mpo speed kutaka kujua kishawakaribisha PM kule😂😂Tangazo lako halijakamilika Erick11 Wewe ni mweupe au mweusi? Kabila lako? Umeajiriwa au umejiajiri? Je ni single father ama?
Kiaje yani unamashoga zako kibao😂😂😂Kutokujitambua kumenikosesha mchumba🤸
So vizurMwaka huu mtanyooka mtake msitake 😀
Hapana siko huko kabisa. Naona wengine wanajieleza vizuri. Ili hata ambaye si member JF, akisoma na sifa kazikubali, atajiunga na kuzama PM.Watu mpo speed kutaka kujua kishawakaribisha PM kule😂😂
Hahaaa hahaKutokujitambua kumenikosesha mchumba🤸
Dadeq 😂Hapana siko huko kabisa. Naona wengine wanajieleza vizuri. Ili hata ambaye si member JF, akisoma na sifa kazikubali, atajiunga na kuzama PM.
Bantu Lady mamboTangazo lako halijakamilika Erick11 Wewe ni mweupe au mweusi? Kabila lako? Umeajiriwa au umejiajiri? Je ni single father ama?
Poa za kwako nzaghambaBantu Lady mambo
Dada wananikataa et wanasema napenda kilelewa etPoor Brain mtafutie mwenzyo mchumba
Wewe jinsia gani? Maelezo malefu ya nini?Habari za weekend ndugu zangu,
Kuna muda kwenye Maisha unahitaji mtu sahihi wa Ku share naye upendo na mapenzi yako, mtu ambaye atakudekea, utamdekeza, utampenda na kumuheshimu, ujisikie furaha akikusifia na kukubali penz nzuri lisilo na maumivu, na wish nikutane na mdada ambaye anapenda kupendwa nimpende, anayependa kuliwazwa nimliwaze, anayependa kufurahia mapenz na mahusiano nikufurahishe na kukusahaulisha panda shuka zote ulizowahi kupitia katika mahusiano.
Mwanamke flan unayejitambua na kujiamini ndiyo nayekuhitaji, na pia mwenye hutaji na utayari wa mahusiano ya furaha na Amani, nitakupa time yangu na Ku share kila kizuri cha mahusiano.
Sibagui kabila wala dini Mimi ni mkristo wa miaka 36 naishi Dar es salaam lakini nipo tayari Ku date ma mpenz wangu wa kutoka mkoa wowote.
Kwa lugha nyingne nzuri natafuta Mwenza hapa ndugu zangu, hata kama sio wewe ni ndugu au rafiki yako naomba connection nitashukuru saana! Naomba niwakaribishe PM yangu ipo wazi, na nikipata nitarudi na mrejesho hapa.
Asante saana
😂😂😂🦻EuniceHumu hakuna watu wa aina hiyo....labda jaribu akina Eunice