Nahitaji mwongozo wa ufunguaji wa kampuni

Nahitaji mwongozo wa ufunguaji wa kampuni

Kelvin 04

New Member
Joined
Jul 27, 2020
Posts
2
Reaction score
0
Naombeni msaada wa kuandaa business plan, memorundum kwa ajiri ya kufungua kampuni ya ujenzi class 7...mawazo pia yanakaribishwa
 
1.Andaa/chagua jina la kampuni mkuu.
2. TIN za wakurugenzi
3. Vitambulisho vya NIDA vya wakurugwnzi na kampani secretary
4. Njoo nitakuandalia business plan na memorandum pamoja na nyaraka zote zinazohuaina na kampuni yako hiyo.
5. Utalipia kiasi fulani cha pesa mkuu katika mchakato huo wa usajili wa kampuni.
6. Kama upo tayari njoo PM.
 
Hivi sheria haija ruhusu tuu mkurugenzi kuwa mmoja?
 
Kwa hivyo vigezo hapo juu mm nahitaji kuwa mwenyewe kama mkurugenzi
 
Back
Top Bottom