Nahitaji mzoefu wa kuuza vitabu Amazon au site yoyote

Aisee hii ya Amazon nilimsaidia kitambo mzee mmoja. Unataka kufungua akaunti kama seller sio?
 
Bosss, ikiwa unaujuzi kuhusu kufungua account kama seller on Amazon fba, tafadhali share nami kwakuwa ninao uhitaji pia. Asante. Pls tag me
 
Back
Top Bottom