Mr. Mangi
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,514
- 768
Ndugu wana Jf mim ni kijana niliyemaliza kidato cha 6 mwaka huu nina miaka 20 nimepata div 3 ya 10 HGE nimechaguliwa kujiunga na chuo St. Joseph, ila kutoka moyon mm napenda kuwa daktar na hiv karibun nimejaribu kutumia vyet vyangu vya form 4 kujiunga na baadh za koz zinazotolewa pale KCMC ila mekutana na kikwazo kwan o-level sijasoma phys ila mesoma chem na bios na nilifaulu haya masomo. Hivyo nafikiria kurudia hilo somo moja ili niweze kutimiza ndoto zangu, sasa wandugu naomben ushaur juu ya hil pamoja na changamoto nazoweza kukutana nazo, asante.