kilichokutuma ukasome HGE nn au ulifata mkumbo. Ushapoteza muda wako we nenda chuo upate ki degree chako cha ualimu ugange njaa huo udaktari watasoma wanao
Ndugu wana Jf mim ni kijana niliyemaliza kidato cha 6 mwaka huu nina miaka 20 nimepata div 3 ya 10 HGE nimechaguliwa kujiunga na chuo St. Joseph, ila kutoka moyon mm napenda kuwa daktar na hiv karibun nimejaribu kutumia vyet vyangu vya form 4 kujiunga na baadh za koz zinazotolewa pale KCMC ila mekutana na kikwazo kwan o-level sijasoma phys ila mesoma chem na bios na nilifaulu haya masomo. Hivyo nafikiria kurudia hilo somo moja ili niweze kutimiza ndoto zangu, sasa wandugu naomben ushaur juu ya hil pamoja na changamoto nazoweza kukutana nazo, asante.
kweli sasa najutia ila vigezo vya kurudia ninavyo hasa umri pili koz niliyochaguliwa hortculture ajira zake ni za shida hasa kwa tz kwan kuna jamaa aliyesoma hiyo koz yupo hom mwaka wa 4 sasa
poa bro ila sitakuwa na bright futurebado nafasi ya kuchange kozi unayo af sua zipo nyingi sana hata eductn inawezekana chukua hiyo degree kuliko kuanza na kureseat mitihani, nahisi mziki wa secondary unaupata, ushapata nafasi itumie
Unawazo zuri mkuu na pia umri co mbaya xana..! Watu wanaxoma hata wakiwa wazee, unaonaje ukimaliza kabxa hii series yako uliyoianza alafu ukishaua hyo bachelor yako, ukajixomesha mwenyewe kabxa bila kuleta usumbufu kwenye familia ----??
advance nilipanga nisome CBG na nilikuwa na credit ila nilikatishwa tamaa na mmoja kat ya ndugu