Nahitaji nahodha wa boti ya uvuvi

Nahitaji nahodha wa boti ya uvuvi

Seawind

New Member
Joined
Mar 3, 2023
Posts
1
Reaction score
4
Ndugu zangu, Nawasalimu.

Nina miliki boti ya uvuvi yenye uwezo wa kuvua bahari kuu, chombo kinaweza kubeba hadi tani moja na nusu ya samaki. Kwa mazingira yetu ya Kitanzania, chombo hiki ni cha kisasa na kinatumia injini ya ndani (Inboard) ya isuzu yenye HP 95.

Nahitaji nahodha mjuzi, mzoefu wa bahari ili tufanye kazi. Chombo kipo Dar es Salaam, na kina zana zote za uvuvi ikiwa ni pamoja na GPS yenye fish finder ya kisasa kabsa.

Sifa za nahodha, licha ya kuwa nahodha, awe na ujuzi wa kuvua samaki kwa kutumia jarife na mshipi mrefu (Longline fishing) pamoja na ufundi wa kawaida wa injini za boti.

Karibu inbox kwa maelezo zaidi.
 
cheki DM mkuu
 
Mshipi mrefu au Zulumati au longline.

Daaah kitambo sana mambo hayo.

Kila la heri mkuu katika kupata mtu sahihi kwa ajili ya kazi hiyo
 
Ndugu zangu, Nawasalimu.

Nina miliki boti ya uvuvi yenye uwezo wa kuvua bahari kuu, chombo kinaweza kubeba hadi tani moja na nusu ya samaki. Kwa mazingira yetu ya Kitanzania, chombo hiki ni cha kisasa na kinatumia injini ya ndani (Inboard) ya isuzu yenye HP 95.

Nahitaji nahodha mjuzi, mzoefu wa bahari ili tufanye kazi. Chombo kipo Dar es Salaam, na kina zana zote za uvuvi ikiwa ni pamoja na GPS yenye fish finder ya kisasa kabsa.

Sifa za nahodha, licha ya kuwa nahodha, awe na ujuzi wa kuvua samaki kwa kutumia jarife na mshipi mrefu (Longline fishing) pamoja na ufundi wa kawaida wa injini za boti.

Karibu inbox kwa maelezo zaidi.
Boss naomba namba yako
 
Back
Top Bottom