Mrs Kharusy
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 1,244
- 671
Embu subiri kwanza twende sawa huyo vanessa ni mpishi wa biriani jukwaa hili?.
Hahaha...umenichekeshaje?!
Hao wanatakaga majibu ya hivi!!...kakimbia
Kwendraaaaaa huko fisi wewe,
Hahaha...umenichekeshaje?!
Hao wanatakaga majibu ya hivi!!...kakimbia
Hivi chapati za maji za kumimina naweza kutumia maziwa badala ya maji ?help natamani nipike hivyo leo
Si ndo wanaziita pancake!! Unaweza ila uweke na mayai km kawa badala ya hapo unaweza nyunyizia asali.
Mm napenda nikifanya za maziwa niweke na vanilla !
Cc. farkhina
Ndo nlikuwa Najipikilisha mamii ona picha ndo mara yangu ya kwanza kupika home nlikuwa namtegea sista asa npo peke yangu huku ugenini nimezitamani sana
Hahaaa...mwanamke jiko atii... zinavutia
naomba uniombee hapo moja kwa amu
Ruhsaa...umekaribishwa!