Nahitaji ndoa ya uke wenza

Muslima1

Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
5
Reaction score
41
Assalaam Alaykum!
Mm ni mwanamke wa Kiislam umri
(30),Sijawahi Kuolewa na wala sina mtoto

Nahitaji Mume Mwenye Sifa hizi:-
Awe Muislam,
Awe yuko ndani ya Ndoa tayari,
Umri kuanzia 35-50,
Awe anajiweza mwenye kipato,
Nahitaji Mume sharti awe ameshaoa nahitaji (UKEWENZA) niwe mke wa pili, watatu na wa nne kikubwa awe Muislam,Mwenye hofu ya ALLAH SWT na-Muadilifu,

N.B NAOMBA KUTILIA UZITO lazma awe ameshaoa kwasababu ya nature ya kazi yangu Safari za hapa na pale ivyo akiwa hajaoa ntamueka kwenye hatari kubwa ya UCHAFU-ZINAA kwa kuogopa dhima hiyo mbele ya ALLAH SWT ntakapokua safarini najua atakua salama katika zamu za WAKEWENZA wenzangu,

Alie serious na Mwenye sifa hizo tafadhali naomba aje (in-box),

Wabillah Tawfiq!
 
Anaweza kukuoa wa kwanza kisha akaoa wa pili na watatu vile vile

Sema tu huenda unagopa maumivu ya kuletewa mwenzio ndani inauma mnoo
Yani labda awe ndani ya Imaan sana tena sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaweza kukuoa wa kwanza kisha akaoa wa pili na watatu vile vile

Sema tu huenda unagopa maumivu ya kuletewa mwenzio ndani inauma mnoo
Yani labda awe ndani ya Imaan sana tena sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Nashukuru kwa mawazo yako!
Wala siogopi hilo kwakua ALLAH SWT ndio kaamrisha, nimefanya ivo kama nilivyofafanua hapo juu mm ni mtu wa safari na sitaki kumpa dhima ya Uchafu-Zinaa ivo mda ambao niko safari anakua na WENZANGU na ata nikiwa wapili ntamruhusu aoe watatu na wanne pia as long as uwezo wa hali zote wanao
 
Mungu saidia babe wangu asiuone huu uzi aisee, mambo ya uke wenza tena duh, dada hizo safari ndyo zinakufanya usiwe na wivu hata kidogo,vipi na wewe ukiwa huko safarini sasa utakua salama pia?,ila kila rakheri.

Usiwe m'binafsi hutaki ukewenza Wanawake wengi huko mtaan hawana Ndoa, na wanahitaji stara, kuliko Mume akazini huko nje na kuongeza list ya vimada si bora aoe tu apate thawabu na astiri Wanawake wenzetu,

Anaonekana ana hofu ya MUUMBA na anajilinda ndio maana ameogopa asije mtia dhima huyo atakaekua mume wake ndio maana ametaka hivi,nimemuelewa sana huyu dada

Mm ni mke wa kwanza Bahati mbaya Mume wangu ana wake wanne tayari ila MWENYEZI MUNGU atakupatia Mume mwema dear
 
Anaweza kukuoa wa kwanza kisha akaoa wa pili na watatu vile vile

Sema tu huenda unagopa maumivu ya kuletewa mwenzio ndani inauma mnoo
Yani labda awe ndani ya Imaan sana tena sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Usizungumze usilolijua mm mbona ni mke wa Kwanza na nimekaribisha wenzangu wanne? Ni kiasi cha kumshiba MUUMBA tu na kua na Subra katika ndoa na Mume akiwa muadilifu wala hakuna shida katika ukewenza
 
Masha'Allah! Mpo wapi kama nyie!
 
Allah akufanyie wepesi mja wake wallah...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashallah WANAWAKE wenye akili na hekima kama wewe mmebaki wachache Sana.

INSHA'ALLAH , Allah will confirm your wish.

Ur the true daughter of your father.

Ningekua nimeoa Walahyi nisingesubiri hata sekunde moja.
 
Jee hiyo safari unazokwenda ww huko hutochipuka kwa sababu itakua uko pekeyako??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…