Habari JF,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna mradi wa afya umebuniwa na kampuni ya kitanzania, ila utekelezaji wake ni lazima upitie shirika au asasi ya kijamii.
Hivyo naomba mtu anayemiliki NGO au anafanya kazi kwenye NGO au ni mjumbe wa NGO au una mahusiano na NGO yoyote, inayoweza kufanya kazi ngazi ya mkoa au nchi nzima, Naomba tuwasiliane tuongee.
Asasi inayohitajika ni kutoka mkoa wowote, maana mradi huu unatazamiwa kupelekwa mikoa yote ndani ya Tanzania.
Karibuni inbox/pm.