Kumbuka akinunua solar powered pump hataitaji kununua petroli au diesel. Kwa maana hiyo bora Solar kuliko generatorPima umbali wa kutoka kwenye chanzo cha maji na shamba, kama ni kisima je kina urefu gani?
Pili nakushauli gharama ya kufunga solar powered pump kwa ajili ya kuvuta maji ni sawa na kununua generator la 4 kva pamoja na pump.
Kwa hiyo generator utaweza tumia kwa shughuli nyingine.
Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
Kumbuka akinunua solar powered pump hataitaji kununua petroli au diesel. Kwa maana hiyo bora Solar kuliko generator
Project yako Ina ukubwa gani na kisima kina urefu gani? Naweza kukusaidia kwa kukuelekeza jinsi ya kupata hivyo vifaa kwa bei nafuu bila kupitia makampuniHeloo wadau, nina project yangu ya kilimo na ufugaji katika mkoa wa kilimanjaro, sasa nauliza iwapo naweza pata kampuni inayohusika na kufunga mashine za kuvuta maji kutoka katika visima vilivopo shambani ,
nahitaji ushauri na wenye kuhusika na hilo.
mawasiliano 0767328063
Project yako Ina ukubwa gani na kisima kina urefu gani? Naweza kukusaidia kwa kukuelekeza jinsi ya kupata hivyo vifaa kwa bei nafuu bila kupitia makampuni
Generator inaweza kutumika katika shamba kama source ya umeme kwa ajiliUnaweza kueleza matumizi mengine ya submersible pump tofauti na ku pump maji ?
Je nimatumizi gani ambayo generator inaweza kutumika shambani?
Air compressor in kazi gani shambani?Generator inaweza kutumika katika shamba kama source ya umeme kwa ajili
-taa
-kuendesha air compressor
-shughuli za kuchomea either majembe hata nguzo
Submarsible pump inaweza tumika kama
-kutransfer maji
-kutransfer dawa za maji kutoka sehemu ya kuchanganya kwenda kwenye tanki kubwa la pump
-na hutumika kutoa maji ambayo yamesimama ktk shamba baada ya mvua kunyesha
Badala ya kununua sprayer za kunyunyuzia madawa na mbolea, compressor hutumika tena kiufanisi hasa.Air compressor in kazi gani shambani?
Okay,Air compressor in kazi gani shambani?
Acha story nyingi, mwenzako ameshasema shambani tayari anayo generator ya Diesel lakini sasa hivi anahitaji solar water pump. Mwenzako yuko field, wewe uko nyuma ya keyboard!Generator inaweza kutumika katika shamba kama source ya umeme kwa ajili
-taa
-kuendesha air compressor
-shughuli za kuchomea either majembe hata nguzo
Submarsible pump inaweza tumika kama
-kutransfer maji
-kutransfer dawa za maji kutoka sehemu ya kuchanganya kwenda kwenye tanki kubwa la pump
-na hutumika kutoa maji ambayo yamesimama ktk shamba baada ya mvua kunyesha
Acha story nyingi, mwenzako ameshasema shambani tayari anayo generator ya Diesel lakini sasa hivi anahitaji solar water pump. Mwenzako yuko field, wewe uko nyuma ya keyboard!
Kumbuka mtu huyu kaomba ushauli hakusema tushindane kama hukupenda story zangu, basi weka zakoAcha story nyingi, mwenzako ameshasema shambani tayari anayo generator ya Diesel lakini sasa hivi anahitaji solar water pump. Mwenzako yuko field, wewe uko nyuma ya keyboard!
Mimi nakupostia ili ujue ninachokisema. View attachment 712577View attachment 712578View attachment 712580View attachment 712582View attachment 712584
Nimeshatumia solar
Kwa hiyo ninachokisema kimetokana na utendaji View attachment 712586View attachment 712587
Karibu namalizia kuvuna passion,
Huku napanda mpunga.
Tuma na wewe uliyoko kwenye field, mimi nipo ofisini nachezea computer
Sawa anunue hiyo solarHuko kwenye bustani za nyuma ya nyumba nilishatoka zamani sana. Anyway tuachane na hayo. Mdau alishasema unachomwambia anunue tayari anacho, anataka kuangalia altenative nyingine! Inamaana ameshaona faida na hasara za diesel power gen, ameopt solar kwa sasa!