emmanuel1976 JF-Expert Member Joined Jun 17, 2011 Posts 301 Reaction score 80 May 16, 2015 #1 Wadau nawatakia weekend njema. Nahitaji nini ili kuanzisha zahanati chini ya NGOs. Suala si mtaji bali masharti gani laima yatimizwe ili kuanzisha huduma hiyo. Asanteni
Wadau nawatakia weekend njema. Nahitaji nini ili kuanzisha zahanati chini ya NGOs. Suala si mtaji bali masharti gani laima yatimizwe ili kuanzisha huduma hiyo. Asanteni