Nahitaji Nissan Dualis Used

Nahitaji Nissan Dualis Used

Bexb

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2016
Posts
715
Reaction score
1,619
Habari ya asbuhi wajumbe.

Ninahitaji Nissan Dualis kaliii nzuri na isiyo na shida. Budget iliyopo ni 12.5M. Kama itakuwa moja kwa moja toka kwa mwenye gari itakuwa vema zaidi lakini hata kama itapitia kwa dalali basi awe wazi kujitambulisha kama dalali.

Kama unayo tafadhali nicheki ili tuje leoleo kuiangalia na kama ikiwezekana kumaliza biashara.

Mawasiliano:

0755963775 calls/WhatsApp
 
Dualis nzuri ya bei hio mtihani na sababu dualis hazina namba za kizamani. Nyingi zinaanzia DR..DS..na kuendelea ambako bei zimechangamka walau ungekuwa na 14M unapata gari bila presha.
 
Dualis nzuri ya bei hio mtihani na sababu dualis hazina namba za kizamani. Nyingi zinaanzia DR..DS..na kuendelea ambako bei zimechangamka walau ungekuwa na 14M unapata gari bila presha.
Zipo hadi namba DE mkuu. Ila nitapata tu maana JF haijawahi kunifelisha
 
Ndio Mkuu. Ikiwa na Sun-roof itakuwa mwake sana....
Halafu kitu cha sun roof, huku uko na mtoto mkare wa chuo, kavaa kimin skirt! Vipaja vyeupee!

Amekulalia begani! Njia nzima ni kudeka tu! "Baby utaninunulia na iphone" kidume unaitikia tu "yes baby"!!!

Kila la heri aisee.
 
😀
 
Dualis nzuri ya bei hio mtihani na sababu dualis hazina namba za kizamani. Nyingi zinaanzia DR..DS..na kuendelea ambako bei zimechangamka walau ungekuwa na 14M unapata gari bila presha.
Mkuu nipo Singida hapa nimefanikiwa kuona Dualis number BF na CL nilishangaa sana kumbe zilianza kuingia TZ kitambo sana..ila wachache ndio walinunua kipindi hiko
 
Yeah inawezekana sababu nilichogundua DAR gari nyingi ni usajili mpya. Chache zinaenda mikoani na ambazo namba za nyuma zinauzwa sana mikoani ndio maana Dualis namba B kuiona kwa hapa mjini ni ishu
 
Back
Top Bottom