Mkuu nahitaji Harrier New Model nina 15M. Naomba nirushie pics WhatsApp on: 0754754593 tufanye biashara chapu...Hela yake hio aongeze 2M gari anapata hata DY ilionyooka kama mpya tu.
Zipo hadi namba DE mkuu. Ila nitapata tu maana JF haijawahi kunifelishaDualis nzuri ya bei hio mtihani na sababu dualis hazina namba za kizamani. Nyingi zinaanzia DR..DS..na kuendelea ambako bei zimechangamka walau ungekuwa na 14M unapata gari bila presha.
Kila la heri mkuu, ila nikukumbushe tu kuwa Nissan sio Toyota. Kuwa makini.Zipo hadi namba DE mkuu. Ila nitapata tu maana JF haijawahi kunifelisha
Tako la nyani au sio?Mkuu nahitaji Harrier New Model nina 15M. Naomba nirushie pics WhatsApp on: 0754754593 tufanye biashara chapu...
Ndio Mkuu. Ikiwa na Sun-roof itakuwa mwake sana....Tako la nyani au sio?
Haya ndio matatizo nayomuasa mtoa mada, gari za bei nafuu zinagharimu sana hasa kama sio mzoefu. Labda anunue hii halafu hio chenchi akafunge gearbox mpya.Hii Kama itakufaa
Njoo inbox
Changamoto yake ni marekebisho kwenye gear box tu
Price 10m
View attachment 2413065View attachment 2413066
Ngoja nikuangalizie mzee tuombe iwe heri.Ndio Mkuu. Ikiwa na Sun-roof itakuwa mwake sana....
Inshallah 🙏Ngoja nikuangalizie mzee tuombe iwe heri.
Kama inachangamoto kwenye gear box ndio basi tena ya kununua gear box mpya. Gear box za CVT hazitaki kuchanganyiwa oil au uzembe wowote ule. Ukishaitibua ndio basi no ya kubadili.Hii Kama itakufaa
Njoo inbox
Changamoto yake ni marekebisho kwenye gear box tu
Price 10m
View attachment 2413065View attachment 2413066
Halafu kitu cha sun roof, huku uko na mtoto mkare wa chuo, kavaa kimin skirt! Vipaja vyeupee!Ndio Mkuu. Ikiwa na Sun-roof itakuwa mwake sana....
😀Halafu kitu cha sun roof, huku uko na mtoto mkare wa chuo, kavaa kimin skirt! Vipaja vyeupee!
Amekulalia begani! Njia nzima ni kudeka tu! "Baby utaninunulia na iphone" kidume unaitikia tu "yes baby"!!!
Kila la heri aisee.
Mkuu nipo Singida hapa nimefanikiwa kuona Dualis number BF na CL nilishangaa sana kumbe zilianza kuingia TZ kitambo sana..ila wachache ndio walinunua kipindi hikoDualis nzuri ya bei hio mtihani na sababu dualis hazina namba za kizamani. Nyingi zinaanzia DR..DS..na kuendelea ambako bei zimechangamka walau ungekuwa na 14M unapata gari bila presha.