Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,005
Haya ndio matatizo nayomuasa mtoa mada, gari za bei nafuu zinagharimu sana hasa kama sio mzoefu. Labda anunue hii halafu hio chenchi akafunge gearbox mpya.
Ya hio gari sijajua ila huenda ikawa 1.5M maana ni CVTGear box mpya inagharimu kias gan
Kama unazo nitumie picha unitamanishe.Tukielewana si naweza kulipa kwa awamu?Ukifika 12-14
Tuwasiliane
Upate gari iliyosimama.
Hebu kapicha Mkuu japo tuioneShukran sana wakuu kwa ushirikiano. Nimepata japo kwa 13.5
weeeHalafu kitu cha sun roof, huku uko na mtoto mkare wa chuo, kavaa kimin skirt! Vipaja vyeupee!
Amekulalia begani! Njia nzima ni kudeka tu! "Baby utaninunulia na iphone" kidume unaitikia tu "yes baby"!!!
Kila la heri aisee.