Nahitaji njiwa, kwa anayeuza anitafute

Nahitaji njiwa, kwa anayeuza anitafute

Peter_John

Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
53
Reaction score
91
Habari Wana JF,

Nahitaji njiwa kwa ambae anauza anitafute kwa namba 0744925496 kwa kupiga au sms za kawaida

Nipo Dar es Salaam, Kawe.

Pia kwa anae fahamu maeneo wanapo uza kwa Dar es Salaam anaweza nisaidia kunijulisha.

Asante
 
Njiwa gani unao hitaji wew kuna Njiwa pori na Njiwa wa kufugwa (kunda)
 
Asante, Iyo sehemu naipata ,kwa sasa hauzi tangu ile ondoa ondoa ya wamachinga barabarani na yeye walimuondoa
 
Back
Top Bottom