Peter_John
Member
- Sep 12, 2022
- 53
- 91
Njiwa wa kufugwa mkuuNjiwa gani unao hitaji wew kuna Njiwa pori na Njiwa wa kufugwa (kunda)
Mkuu pale mikocheni kwa nyerere kwenye ile junction kuna jamaa wanauza njiwa. Palepale barabaraniNjiwa wa kufugwa mkuu
Maeneo gan?Yupo hapo mmoja kwetu anazurura njoo home umchukue