Shooter Again JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 5,603 Reaction score 9,263 Sep 12, 2024 #1 Kama kichwa cha habari kinavyosema wakuu. Nahitaji nyumba maeneo ya masaki ambayo ipo kwenye standard ya hali ya juu Nipo serious maana nataka niishi sehemu yenye furaha ambayo haina uswahili na naomba mnitajie bei kabisa na picha za nyumba
Kama kichwa cha habari kinavyosema wakuu. Nahitaji nyumba maeneo ya masaki ambayo ipo kwenye standard ya hali ya juu Nipo serious maana nataka niishi sehemu yenye furaha ambayo haina uswahili na naomba mnitajie bei kabisa na picha za nyumba
Jay One JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 18,042 Reaction score 19,787 Sep 12, 2024 #2 Ugonjwa wa akili is real
E Enter Passcode JF-Expert Member Joined Mar 1, 2024 Posts 479 Reaction score 942 Sep 12, 2024 #3 Lazima masaki, nichek mkuu
ngosha wa mwanza JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 3,832 Reaction score 11,964 Sep 12, 2024 #5 Kuna thread ya madalali wa nyumba humu itafute mkuu watakusaidia
Shooter Again JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 5,603 Reaction score 9,263 Sep 12, 2024 Thread starter #6 ngosha wa mwanza said: Kuna thread ya madalali wa nyumba humu itafute mkuu watakusaidia Click to expand... Poa mkuu
ngosha wa mwanza said: Kuna thread ya madalali wa nyumba humu itafute mkuu watakusaidia Click to expand... Poa mkuu
Shooter Again JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 5,603 Reaction score 9,263 Sep 12, 2024 Thread starter #7 Enter Passcode said: Lazima masaki, nichek mkuu Click to expand... Poa nakucheki mkuu