abudist
JF-Expert Member
- Oct 25, 2009
- 850
- 781
Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Temeke, Mbagala, Tuangoma nk.. Iwe na vyumba 3 au zaidi iwe nzima au upande wa kujitegemea, iwe na maji na umeme na karibu na barabara na huduma za kijamii. Iwe nzuri na ya kisasa. Napenda iwe japo na master bedroom. Naweza kufikiria maeneo mengine pia... Bajeti yangu Shs 150,000 kwa mwezi.