Prince Gasper94
Member
- Feb 26, 2013
- 13
- 4
We nenda maeneo hayo unayohitaji waone madalali halafu wape sifa za chumba chako waachie na namba ya simu hata week ni kubwa utakua ushapata chumbua hikoHabari zenu wana JF msaada kupata nyumba yakupanga MASTER BEDROOM cost 100,000/= if not master basi kiwe btn 50000 up to 100000 pesa tasilimu ya Tanzania.
maeneo ya Mwenge, Sinza,Makumbusho,Kijitonyama pasiwe mbali sana na Usafiri wa Daladala.
#samahanikwahivyovigezokamavitakuwakero
baadhi ya mitandao yakijamiiWe nenda maeneo hayo unayohitaji waone madalali halafu wape sifa za chumba chako waachie na namba ya simu hata week ni kubwa utakua ushapata chumbua hiko
Kama unaeza mpata mtu akakufanyia hivo au ukapata sehem ya kukaa siku mbili au tatu wako fasta sana na wanasaidia sanaSipo DSM kwa sasa ndio maana nasumbuka kutafuta kwa huku na baadhi ya mitandao yakijamii