Nahitaji nyumba ya kupanga

Nahitaji nyumba ya kupanga

samkarume

Member
Joined
Feb 27, 2009
Posts
59
Reaction score
37
Salaam wana Jamii Forums
Nina uhitaji sana wa nyumba ya kupanga

Eneo la Uzunguni, Kisiwani, Vjibweni

Vyumba viwili na sitting room kimoja au vyote viwe Master
iwe ndani ya uzio

Kuwepo na Maji na umeme
Umbali kutka barabarani usizidi 1 kilometer

Bajeti yangu ni laki 2 kwa mwezi fungu nimetenge la miezi sita

Nitasukuru kwa msaada wenu
Asante

Sam
+255742550551
+255764777719
 
Back
Top Bottom