Nahitaji nyumba ya kupanga.

Nahitaji nyumba ya kupanga.

Zitendwa

Member
Joined
Dec 18, 2021
Posts
27
Reaction score
19
Nina uhitaji wa nyumba, vyumba viwili, kimoja self contained , sebule, jiko, maji, umeme na fence.

Maeneo: Kinyerezi (kuanzia darajani - Kinyerezi mwisho)
Segerea (Magereza hadi Petroleum station - kona baada ya stand kuu Segerea).

Ukonga - Magereza, Madafu, KM.
Kama unayo nicheck PM tafadhali.

Bajeti yangu 200 - 250.
 
Ngoja niuboost uzi wako.
 
Kuanzia 4 - 6
Ya dalali ipo? Ungejaribu kucheki Instagram wanapost sana point nyingine dalali akikupeleka nyumba ya hovyo ambayo haifanani na picha alizotuma usikubali kutoa service fee wanakuwaga na uhuni wa upigaji
 
Ndiyo ipo.
Asante kwa ushauri mzuri.
🙏🏽🙏🏽🙏🏽
 
Back
Top Bottom