Ngoja niuboost uzi wako.Nina uhitaji wa nyumba, vyumba viwili, kimoja self contained , sebule, jiko, maji, umeme na fence.
Maeneo: Kinyerezi (kuanzia darajani - Kinyerezi mwisho)
Segerea (Magereza hadi Petroleum station - kona baada ya stand kuu Segerea).
Ukonga - Magereza, Madafu, KM.
Kama unayo nicheck PM tafadhali.
Bajeti yangu 200 - 250.
Asante sana ChiefNgoja niuboost uzi wako.
Shukrani mkuu
Kuanzia 4 - 6Unalipa kwa miezi mingapi?
Ya dalali ipo? Ungejaribu kucheki Instagram wanapost sana point nyingine dalali akikupeleka nyumba ya hovyo ambayo haifanani na picha alizotuma usikubali kutoa service fee wanakuwaga na uhuni wa upigajiKuanzia 4 - 6
Ndiyo ipo.Ya dalali ipo? Ungejaribu kucheki Instagram wanapost sana point nyingine dalali akikupeleka nyumba ya hovyo ambayo haifanani na picha alizotuma usikubali kutoa service fee wanakuwaga na uhuni wa upigaji
π€π€