House4Rent Nahitaji Nyumba

House4Rent Nahitaji Nyumba

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
21,952
Reaction score
43,265
Nahitaji nyumba ya Kupanga Iwepo maeneo ya kimara yani kuanzia kimara mwisho kurudi maeneo ya town kwa maana ndani njia ya mwendokasi.

Iwe na vyumba viwili kimojawapo masters..maji na umeme wa kujitegemea..jiko na sebule! Kwa LAKI MBILI. kama unayo nipm.
 
una pesa ya dalali nikuunganishe nae mfanye buzness chap?
 
Back
Top Bottom