Nahitaji Ofisi ya kukodi kwa wiki moja Dar

Nahitaji Ofisi ya kukodi kwa wiki moja Dar

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,414
Reaction score
2,181
Habari wakuu.

Iwe maeneo ya kati kati ya jiji au jirani na City Center. Lengo ni tunatoka mkoani kuja kurekodi kipindi cha afya ya ngozi.

Piga 0713039875
 
Je ww ni dalali au ndio mwenye project?
 
Nenda pale Seedspace wapo Victoria unaweza kupata ofisi kadri ya mahitaji yako
 
Back
Top Bottom