S Samedi Amba LLC Member Joined Apr 5, 2024 Posts 81 Reaction score 117 Feb 1, 2025 #1 Habari wanaJF, Nimekuja kwenu na ombi. Kama kuna mfanyabiashara wa OVEN hapa naomba tuonane. Cha msingi, nahitaji kukitumia kanisani. Iweze kutumia gesi na umeme. Plate 2 au 3. Naomba uniandikie. Whatsapp ni 0748707707
Habari wanaJF, Nimekuja kwenu na ombi. Kama kuna mfanyabiashara wa OVEN hapa naomba tuonane. Cha msingi, nahitaji kukitumia kanisani. Iweze kutumia gesi na umeme. Plate 2 au 3. Naomba uniandikie. Whatsapp ni 0748707707
D Metakelfin JF-Expert Member Joined Mar 23, 2017 Posts 3,399 Reaction score 3,666 Feb 1, 2025 #2 Oven inauzwa kwa ujazo we sema ya ltrs ngapi sio plate
D Metakelfin JF-Expert Member Joined Mar 23, 2017 Posts 3,399 Reaction score 3,666 Feb 1, 2025 #3 Halafu we si ulikua na kiwanda Cha mikate hapo nyuma