Wana jf mimi ni mjasiriamali nahitaji mashine ya kupak na kufunga (silling and packing machine) ya kukodisha ama used hapa tanzania. Yenye uwezo wa kupaki kuanzia gram 5 had gram 200 (powder). kwa anaejua nitaipataje/ kwa nani naomba msaada kwa hili.