Watakupa rijecti zenye unafuu mkubwa dar wana site ya kuuzia piaNipo dar es salaam na pia nahitaji USED (ambazo zimesa tumika ila zipo kwenye hali nzuri)
Kwanza upatikanaji wake ni wa shidashida ipo wapi mkuu, ebu niambie
Mkuu si unune tu, kwani unaeneo kubwa?yeah i know ndio maana nimekuja kujaribu kuuliza na watu wa uku uwenda nikapata
Mhmm umeuliza riject?Nimewasiliana nao, hawana used na pia izo wanazo uza bei ni ya moto mnooo
Anune tena?Mkuu si unune tu, kwani unaeneo kubwa?
*anunueAnune tena?
Ili iweje?