iron woman
Senior Member
- Apr 22, 2013
- 147
- 19
Habari zenu wadau naomba kujuzwa ile kitu huwa wanaweka ndani ya mito inakuwa milaini( siyo sponge) ni nyeupe kama pamba lakini yenyewe nahisi inakuwa nylon inaitwaje na naweza kuipata wapi nataka nianze kutengeneza mito.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sufi nilionaga kusini na huwa inazaa vitunda vikikauka vinapasuka ndio inatoa hizo sufi, hivyo kupata gunia la sufi ni shuguli pevu mkuu ila kule hazifanyiwi chochote wanaziangalia tuHabari zenu wadau naomba kujuzwa ile kitu huwa wanaweka ndani ya mito inakuwa milaini( siyo sponge) ni nyeupe kama pamba lakini yenyewe nahisi inakuwa nylon inaitwaje na naweza kuipata wapi nataka nianze kutengeneza mito.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh asante Sana ndugu ngoja nijaribu kuuliza zaidi labda naweza bahatishaSufi nilionaga kusini na huwa inazaa vitunda vikikauka vinapasuka ndio inatoa hizo sufi, hivyo kupata gunia la sufi ni shuguli pevu mkuu ila kule hazifanyiwi chochote wanaziangalia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo bei chee sana. Imagine godoro la sufi la 4 kwa sita linauzwa elf 15