Nahitaji partner ili tushirikiane kwenye Game Development

Nahitaji partner ili tushirikiane kwenye Game Development

Rog chimera

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
398
Reaction score
706
Habari zenu wadau,

Natafuta patners wenye interest ya game development kwa kutumia unreal engine au unity tushirikiane katika mambo mbali mbali. Pia, kama unajifunza game dev kwa kutumia libraries kama Libgdx, jmonkey, SDL, SFML

Naomba tufahamiane nna mengi ya kuongea na wewe mdau wa Game Development.

Karibu.
 
Back
Top Bottom