Nahitaji Partner kwenye mradi wa ufugaji kuku wa nyama (BROILER)

Premij canoon

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2018
Posts
1,203
Reaction score
2,771
Salaaams wanajukwaa, poleni na majukumu.

Kama heading inavyojieleza, Nahitaji partner wakushirikiana nae kwenye mradi wa ufugaji kuku wa nyama ( BROILER ). Mabanda ni makubwa na ya kisasa, yenye uwezo wa kuingiza kuku (BROILER) 6000.

Partner anahitajika aweke BROILER kuanzia 2000 kwa kuanzia mradi, na kadri siku zinavyoenda tutakua tukiongeza hadi kufikia kuku 6000.

Mimi natoa mtaji wa mabanda pamoja na uzoefu wa ufugaji, usimamizi wa mradi, pamoja na uzoefu wa soko. PATNER atatoa mtaji wa kuku 2000, chakula pamoja na madawa.

Mradi upo Kijichi / Mbagala kuu, kando ya barabara.

FAIDA TUTAGAWANA 50% by 50%.

Kwa aliye serious karibu tushirikiane kwenye ufugaji kibiashara.

MAWASILIANO -Call : 0787480826
-Whatsap : 0763708877


KARIBUNI.


















 
Mm naomba msaada kwa nyie ambao mnauzoefu na ufugaji wa kuku wanyama mm ndio nataka kuanza kfuga kwahyo nahitaji muongozo wenu nataka kuanza na kuku 200 naomben mchanganuo hapo wa kila ktu
 
Mm naomba msaada kwa nyie ambao mnauzoefu na ufugaji wa kuku wanyama mm ndio nataka kuanza kfuga kwahyo nahitaji muongozo wenu nataka kuanza na kuku 200 naomben mchanganuo hapo wa kila ktu
Kuku mmoja 2000 *200
Kwa kuku mia mbili wanakula gunia 8
Starter saizi 71000
Grower 69000
Finisher 68000
Chanjo weka kama 50000
Maranda ya 10,000
Umeme na maji kwa mwezi 30,000
Usafiri wa vyote 30,000 inategemea na ulipo
Haya piga hesabu hapo.
 
Wakuu nahitaji mbolea ya kuku nifanye kilimo cha bustani
Mi nikiipata naiweka kwenye biogas inanizalishia kwanza gas halafu ile mbolea inaishia shamba
 
Kuku mmoja 2000 *200
Kwa kuku mia mbili wanakula gunia 8
Starter saizi 71000
Grower 69000
Finisher 68000
Chanjo weka kama 50000
Maranda ya 10,000
Umeme na maji kwa mwezi 30,000
Usafiri wa vyote 30,000 inategemea na ulipo
Haya piga hesabu hapo.
Kwani kifaranga cha broiler kinauzwa tsh. ngapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…