Nahitaji Partnership Video Library

Nahitaji Partnership Video Library

October man

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Posts
3,635
Reaction score
5,012
Kama una PC tufanye Partnership.

Mimi unajishughulisha na Video Library ni biashara ambayo haijaathiriwa na Corona hata kidogo zaidi Covid nndio imeongeza soko kwa watu kukaaa nyumbani na kusimamishwa kazi. Waangalia Movie, Season na music wameongezeka tu Home.

Nimeona fursa moja ya kuwafata Wateja walipo hili wazo ni pana linahitaji nikae chini nianndike uelewe mtu maana kuna some experence inabidi umeulekeze asiyeijua hii biashara.

Kwakifupi kwenye biashara hii tunakuwa na Royal Clients ukimpata mteja leo hii ndio wako milele nachotaka kufanya ni kutengeneza wateja wa kuwafata (Out door Service/Delivery)...Wateja ninaowalenga nyumba 70 kwamaana kila siku nipate nyumba 10.

Changamoto kwahapa sina PC/Laptop ambayo nitaweka Season, Movies na music huu ndio Mtaji mkuu ndio maana nahitaji partnership.

PARTNERSHIP (aina 4)

1) Kama una PC utanipa kufanyia kazi kwasiku nakupa 5000 Tzs, partnership ikiisha nakupa PC yako..

2) Kama una 300,000/= ukanipa, kwa siku nakupa 5000 Tzs partnership ikiisha naakupa 300K yako.

3) Kama una PC nakuelekeza wazo zima lilivyo tunafanya kazi wote na kugawana nusunusu nikikamilisha Amount yangu ya kununua PC nakuacha uendelee mwenyewe kwenye Soko tuliaanza wote.

4) Support me with 300,000 Tzs ndani ya mwezi mmoja nakupa 400,000 Tzs

NB: mimi najishughulisha na hii Biashara nina some experience tiali, ila hili wazo ni pana hata ambaye hajui hii Biashara anaweza fanya ila mpaka nimuelekeze kiupana sana nimueleze maaana mambo mengine ni yakuelekezwa inakuwa hivi ila rahisi ukielezwa.

Faida nayoitaageti 600K mpaka 900K kulingana na idadi ya Wateja/nyumba nilizo target nyumba 70 mpaka 100 kwa Week.. .zingatia hili nyumba 70 maanayake ninawahudumia kila Week kwamaana ×4 kwa mwezi kwanini Seson zitatoka kila Week that why nikasema unakuwa na Royal Client. may change kupanda au kushuka hiyo inaahitaji maelezo mengi.

NB: Mtaji haupotei hapo kote unaona Mtaji ni PC/Laptop tu ni Assert ambayo inauzwa tu hence RISK FREE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
QUOTE="October man, post: 34413724, member: 465514"]Hili wazo lenye uhalisia sana na ndio ninaloliendea sasahivi, labda uwe umejikita kwenye biashara za kuzalisha si zakutoa Huduma maana wote naona wanaleta mawazo yakuzalisha.

Hii ni FREE CARWASH
_Naoshea maeneo ya posta hiyo 50,000/= inafikishwaa kwa siku 2 cash as profit na siku kama ya leo na kesho magari yapo full packed na wengi wametoka kuuatumia siku za weekend hata kwasiku moja if Odds in my side that day.

MCHANGANUO
_Hii biashara ipo hivi gari unaosha kwa 2000/= mpaka 10,000/= inategemea umemuoshea nani maana wanaosha mpaka ma Range Rover, V8 sasa mtu ukimuoshea anakupa tu “chukua hii 8000/= Nipigie maji” unajikuta kwa siku mbaya 30,000/= kawaida.

ENEO LA BIASHARA
_Posta maeneo ya Golden jebelee tower, kuna ofisi nyingi kubwa maeneo ya nje ndio inapofanyika Huduma hii ubaazi wa SERENA HOTEL unaosha magari non-stop kutwa mzima.

MTAJI
_Hii biashara haitaji Mtaji mkubwa kwasababu unahitaji vifaa ambayo madumu na vitambaa ILA kwenye inabidi ujiunge kwenye kikundi kwa 70,000/= hili uwe mwanachama nishawapa 20,000/= ndio nahaso iyo 50,000/= niwakamilishie.
_kwa kuongeza thamani ya Huduma nanunua matauro meupe, mafuta Air freshener, Polish ya dash board n.k ili kumfurahisha zaidi mteja hii itafanya niweze kumpandishia bei mteja na kupata faida maradufu.

UHALISIA
_Leo ndio natoka kuwapa 20,000/= nakupeleka dumu zangu asubui tu hata SAA 2 bado wakaamua wanipe nauri yakurudi kwakupewa gari moja nioshe nimekula 5000/= cash hiyo kabla ya saa 2 ijafika imagine kutwa nzima.

So, kwahuwo Mtaji wa 50,000/= ambao kwangu ni mtaji wa kujiunga uwanachama na kuonheza matauro na mafuta siku 2 tu naitengeneza.

NB: hii dunia ya leo mawazo ya kutoa Huduma yanapesa hata ukianza chini.

IDEA IN PROGRESS...NEED BACKUP CAPITAL


Faida kabla saa 2 leo.View attachment 1360449

Vifaa vya kazi
View attachment 1360451

Portfolio | 2020[/QUOTE]

Hii ulicomment kwenye uzi wa @bondelabaraka
 
Ningekuwa nakaa Mbagala, ningekuwa nakuachia Laptop yangu mchana.

Maana binafsi naitumia usiku tu kufanya blogging.

Inshort naona una nia hata kama usipofanikiwa, bado utastahili pongezi.
 
Ningekuwa nakaa Mbagala, ningekuwa nakuachia Laptop yangu mchana.

Maana binafsi naitumia usiku tu kufanya blogging.

Inshort naona una nia hata kama usipofanikiwa, bado utastahili pongezi.
aah nimekupata Mkuu.
 
Na huu ndo ukweli.
Ningekuwa nakaa Mbagala, ningekuwa nakuachia Laptop yangu mchana.

Maana binafsi naitumia usiku tu kufanya blogging.

Inshort naona una nia hata kama usipofanikiwa, bado utastahili pongezi.
 
Back
Top Bottom