October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 5,012
- Thread starter
-
- #21
In door service haiitaji PC hata ukipewa PC ni Bora uuze ununue Desktop Computer, So nafanyia Desktop Computer kwa in door Service (Huduma kwenye Ofisi).Ikiwa una uzoefu na hii biashara, unakosaje kuwa na PC? Umekuwa ukiifanyaje bila PC?
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu October man hii comment yako haijakaa kiungwana kabisaBoss what i write is Clear, What I do is clear, what I focus is clear, all my goal is clear...Don't stress my brain Boy.
Maoni kama haya anaandikaga RRONDO sipendi kuyaona huyu jamaa nilimuandikia Clear format nzima nina nafanya.
Hizo ulizoandika hapo ni nyuzi nilizoandika sio mawazo unajua mawazo “jinsi gani unaweza tengeneza 400K kwa mwezi mmoja” niwazo ilo ???
SIPENDI COMMENT KAMA HIZI BOY NAWAPI NIMETAKA MSAADA...Partnership ni kuomba msaada.
Bongo nyepesi zisizo jua Hustle zimejaa hili jukwaa.
Nafanya hii Biashara nina mwaka na nusu zaidi ya watu 7 ninaowajua wamefunga biashara hii hii karibu na mtaa ninaoufanya mimi nimeendelea kuwepo bado leo nataka kuongeza ku-penetrate soko jipya kwa kufanya Delivery naleta mawazo hapa unaandika “pambana na wazo moja” unatoaje comment iyo.
SITAKI COMMENT ZAKIWAKI TENA KAMA HIZI.
Mkuu sikuandika kwa ajili ya kurumbana Bali niliandika Kama ushaur na wala sijakioutmust nadhan umejibu kwa hasira asante wewe mwenye BONGO kubwa endelea kuhustle Mkuu kila la heri
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Mkuu samahani nafuta, naomba futa isiapie tena.mkuu October man hii comment yako haijakaa kiungwana kabisa
usijibu hivi hata kama mtu kakujibu tofauti na matarajio yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba ufute Qoute Mkuu.Mkuu sikuandika kwa ajili ya kurumbana Bali niliandika Kama ushaur na wala sijakioutmust nadhan umejibu kwa hasira asante wewe mwenye BONGO kubwa endelea kuhustle Mkuu kila la heri
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba futa na hii.Mkuu October man pole na majukumu
Mmnimekifuatilia Sana na idea Zako nyingi ambazo unapost humu zikiwemo zifuatazo
1 vp unaweza kutoa 400k kuwa 1.2m kwa Miez 4
2 Masada connection chini pagumu
3 wanaoosha Makati posta wanapiga Sana hela
4 Eti huwezi kutafuta m300 Bila kijihusisha na ushirikina
Nilichojifunza toka kwako Mkuu bado hujapata wazo rasmi ambalo umeamua kulifanyia kazi ili uone. Mwisho wake utakuaje maana unamawazo mengi ya biashara ila utekelezaji n finyu
Kwa sasa dunia mepoteza uaminifu s rahis Sana mtu kumuamin mwenzie
PAMBANA NA WAZO MOJA MKUU HALAFU LETA MREJESHO WATU WAONE MISAADA HUMU IPO ILA UTEKELEZAJI NDIO SHIDA KWA SS WAKOPESHWAJI
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba futa isiapie.mkuu October man hii comment yako haijakaa kiungwana kabisa
usijibu hivi hata kama mtu kakujibu tofauti na matarajio yako
Sent using Jamii Forums mobile app
QUOTE="October man, post: 34413724, member: 465514"]Hili wazo lenye uhalisia sana na ndio ninaloliendea sasahivi, labda uwe umejikita kwenye biashara za kuzalisha si zakutoa Huduma maana wote naona wanaleta mawazo yakuzalisha.
Hii ni FREE CARWASH
_Naoshea maeneo ya posta hiyo 50,000/= inafikishwaa kwa siku 2 cash as profit na siku kama ya leo na kesho magari yapo full packed na wengi wametoka kuuatumia siku za weekend hata kwasiku moja if Odds in my side that day.
MCHANGANUO
_Hii biashara ipo hivi gari unaosha kwa 2000/= mpaka 10,000/= inategemea umemuoshea nani maana wanaosha mpaka ma Range Rover, V8 sasa mtu ukimuoshea anakupa tu “chukua hii 8000/= Nipigie maji” unajikuta kwa siku mbaya 30,000/= kawaida.
ENEO LA BIASHARA
_Posta maeneo ya Golden jebelee tower, kuna ofisi nyingi kubwa maeneo ya nje ndio inapofanyika Huduma hii ubaazi wa SERENA HOTEL unaosha magari non-stop kutwa mzima.
MTAJI
_Hii biashara haitaji Mtaji mkubwa kwasababu unahitaji vifaa ambayo madumu na vitambaa ILA kwenye inabidi ujiunge kwenye kikundi kwa 70,000/= hili uwe mwanachama nishawapa 20,000/= ndio nahaso iyo 50,000/= niwakamilishie.
_kwa kuongeza thamani ya Huduma nanunua matauro meupe, mafuta Air freshener, Polish ya dash board n.k ili kumfurahisha zaidi mteja hii itafanya niweze kumpandishia bei mteja na kupata faida maradufu.
UHALISIA
_Leo ndio natoka kuwapa 20,000/= nakupeleka dumu zangu asubui tu hata SAA 2 bado wakaamua wanipe nauri yakurudi kwakupewa gari moja nioshe nimekula 5000/= cash hiyo kabla ya saa 2 ijafika imagine kutwa nzima.
So, kwahuwo Mtaji wa 50,000/= ambao kwangu ni mtaji wa kujiunga uwanachama na kuonheza matauro na mafuta siku 2 tu naitengeneza.
NB: hii dunia ya leo mawazo ya kutoa Huduma yanapesa hata ukianza chini.
IDEA IN PROGRESS...NEED BACKUP CAPITAL
Faida kabla saa 2 leo.View attachment 1360449
Vifaa vya kazi
View attachment 1360451
Portfolio | 2020
Mkuu sikuandika kwa ajili ya kurumbana Bali niliandika Kama ushaur na wala sijakioutmust nadhan umejibu kwa hasira asante wewe mwenye BONGO kubwa endelea kuhustle Mkuu kila la heri
Sent using Jamii Forums mobile app
Waungwana naomba mfute HIZI Quote.mkuu October man hii comment yako haijakaa kiungwana kabisa
usijibu hivi hata kama mtu kakujibu tofauti na matarajio yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Na huu ndo ukweli.
Nielezee