Nahitaji Partnership Video Library

Mkuu kuna comments zimekupotezea sifa ya kupata unavyovitaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Najua hilo Cheaf

Wewe ni moja ya member uliyeziona Comment ulizoziita zimenikosesha nilichotaka ila wewe ulikuwa ni mmoja ambaye usingeona hizo Comment zilizoninyima nachotaka endapo uungwana ungezingatiwa katika hili, marakadhaa nimewa-Cosult sana member wenzangu wafute Records ya hizo Comments naona wamepuuza wangelifuta in a time usingeziona hizo Comments maana najua wewe umeingia kwenye uzi huu kupitia Link nilioyo upload kule ile ilikuwa lisaa 1 mbele nikiwa Consult hicho wamepuuza bila uugwana huku ikiwa nimewaomba msamaha...na wapo Online.

Kwa namna hii uugwana uwenda umekosekana na kutofanyika.

Ila sikutaka kufuta Comments zilizoninyima nilichotaka ili nipate nikichokitaka maana nilishakipata kabla ya Comments ulizoziita zimenyima nilichotaka.

Nimepata HP LAPTOP, target kuanza kazi Jumatatu...sijajua kama soko lita respond kama nilivyo PLAN.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…