Mi sina mtu hapa mjini, sema ukiwapata vishoka huko kesho tu unapata passport ilimradi hela ipo.....watakuja wadau pole.Mkuu Evelyn Salt Nasubir msaada wako
Ila uwe makini vijana wa mjini wasijekupita na hela yako na passport usiipateMkuu nakuja pm ila legeza kidogk, au kwakuwa nimetangaza posho ndo unataka kunila kichwa 😂😂
Kama upo iringa naweza kukusaidiaLeta muongozo kama unao mkuu, hizi mambo zinakera sana.
Kivipi mkuu nifungue maana hilo neno vishoka sio geni kwangu, kwamba nao ni maafisa wa uhamiaji lakini wanakutapeli tena??Nenda office za uhamiaji na barua ya dhumuni la safari,na nyaraka zinginezo huku utakutana na vishoka tu mwisho wakutapeli pesa zako
Iringa ningeweza kukusaidia ila Kwa huko hapanaNipo Mbeya kwa sasa mkuu!