mbenda said
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 1,083
- 2,099
Bei ya mleta mada ni 850,000...yaani mtu kakwambia anatafuta chumba mbagala...we unamuuliza kwanini asitafute masaki? unafikiri yeye hapapendi?..hehehehe
π π π π πBei ya mleta mada ni 850,000...yaani mtu kakwambia anatafuta chumba mbagala...we unamuuliza kwanini asitafute masaki? unafikiri yeye hapapendi?..hehehehe
we jamaaa, dah