Nahitaji pikipiki ya mkataba au kazi yoyote halali

Nahitaji pikipiki ya mkataba au kazi yoyote halali

Keo Chama

Member
Joined
Aug 10, 2019
Posts
23
Reaction score
46
Kwenu wakubwa kwa mwajina Hamisi Ally
Elimu kidato cha sita (06)
Makazi: Dar,mabibo
Miaka:25
Kijiwe:kariakoo

Mwenye connection itakayoniwezesha kupata pikipiki ya mkataba
naomba tuwasiliane

0685176087

Maisha ni kupeana fursa

Pia kama kuna ajira yoyote nipo tayari kufanya
 
Ungekua zenji ungepata pikipiki
 
Ungekuwa mwanza ningekupa pikpik...sema muda mwingine nyie boda unaudhi sana mkishapata msaada wa pikpik...af ni wasumbufu sana kulipa aisee Kuna watu kama watano wananisumbua sana
 
Back
Top Bottom