Nahitaji pikipiki ya mkataba

Hamna hesabu ya elfu kumi sasahvi.
Mambo ya kizamani kanunue au kakope yako.
Hao watu wanataka hesababu ya 13500 kwa siku, kianzio laki mbili na nusu.
Alafu individual person akupe kwa elfu kumi kwa siku, labda pikipiki iliyomaliza mwaka.
Rekebisha ombi lako. Upewe kazi
 
Yoyote anaehitaji pikipiki mpya ya mkataba wasiliana na whatsapp 0756014591
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…