Kwa yeyote atakayeweza kunisaidia kupata piston ya ZOMAX ZM-720 Chain Saw anisaidie, nimejaribu kutafuta Maduka ya Kariakoo, Kisutu na Gerezani bila mafanikio.
Kwa yeyote atakayeweza kunisaidia kupata piston ya ZOMAX ZM-720 Chain Saw anisaidie, nimejaribu kutafuta Maduka ya Kariakoo, Kisutu na Gerezani bila mafanikio