Nahitaji pressure washer plunger pump. Manufacturer awe INTERPUMP GROUP

kayanda01

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,216
Reaction score
1,062
Nahitaji 'pressure washer plunger pump' mpya original made in Italy by INTERPUMP GROUP.

Pump kama hii:

Kwa jijini Mwanza, zinapatikana maduka gani?

Nahitaji Genuine kabisa interpump og. Sitaki kanyaboya ya kichina!

Wakuu natafuta hiyo pump made in Italy by Interpump Group.
 
eBay na Amazon wanazo hizo pump, ila hawasafirishi to Tz.
 
Mkuu Chief , najaribu option ya kuagiza hiyo interpump kutoka nje ila nasita sana kuhusu ushuru. Pia na gharama za kuisafirisha sijajua.

Una uzoefu wowote kuhusu kuagiza online? Hiyo pump ina uzito wa 14 kg.
Nina uzoefu kiasi wa kuagiza vitu online, mfano magari, spares etc kwa matumizi binafsi. Jaribu kuwasiliana nao wakupe bei mpaka Dar (CIF). Kama ni pump ya maji, nafikiri import duty ni free ingawaje mie sio mtaalamu wa masuala ya TRA. ( angalia hapa https://www.tanzania.go.tz/egov_uploads/documents/The_Customs_Tariff_Act,_12-1976_sw.pdf ) Kwa hiyo utalipa VAT tu. Jaribu kwenda TRA kuwauliza TRA kupata uhakika.
 
eBay na Amazon wanazo hizo pump, ila hawasafirishi to Tz.
Nunua anuani yako ya US, halafu agiza kupitia hiyo anuani yako. Kwa single package gharama ya anuani ni bure. Ikifika wanakusafirishia mpaka hapa Dar na wanakukata kwenye Visa card yako gharama za usafiri. Pitia hiyo website kwa maelezo ya ziada.
 
Yes, ni pump ya maji. Ngoja nitafute Afisa wa TRA nimuulize kuhusu hilo ili nipate uhakika kabla sijaiagiza. Thanks a lot mkuu
 
Nunua anuani yako ya US, halafu agiza kupitia hiyo anuani yako. Kwa single package gharama ya anuani ni bure. Ikifika wanakusafirishia mpaka hapa Dar na wanakukata kwenye Visa card yako gharama za usafiri. Pitia hiyo website kwa maelezo ya ziada.

Wauzaji wapo UK... kwenye eBay.uk na Amazon.uk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…