SOFTWARE NAHITAJI PROGRAM/SOFTWARE YA KUCHAKATA MATOKEO YA MITIHANI

mwakizega

Senior Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
165
Reaction score
84
Salamu wakuu.
Kwa yeyote mwenye ujuzi wa kutengeneza/kuandika software/program ya kuchakata matokeo ya mitihani kwa idadi ya wanafunzi kuanzia 15000 hadi 25000 ninaihitaji. Mahitaji na vitu ninavyovitaka kujumuishwa katika software hiyo tunaweza kukaa tukakubaliana kwa pamoja au ukaja na mapendekezo/mtazamo kulingana na utaalamu wako.
Muhimu; ni vema ukawa na uzoefu katika eneo hilo au uwe umepitia mifumo kadhaa ndipo uje na proposal yako.
Ni kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi sio sekondari.
0784132525 hiyo ni namba yangu ninapatikana muda wote na niko Dar es Salaam.
 
Chk pm mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…