Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Nicheki 0758751515Kama kichwa kinavojieleza hapo, mungu akinijaalia mwezi wa 7 nataka kufungua kibanda cha kupata angalau Mia 2 Mia 3 ili niweze kulea mke wangu( sjamuoa) na mtoto wangu uku nikiendelea na masomo yangu ya shahada ya kwanza.
Hivo basi jamani naomba kutangaza kuwa yeyte mwenye ps3 au ps4 used nanunua mm nipo mbeya usafiri juu yangu mzigo kufika huku
Nb:Bei iendane na soko usje na bei za ajabu sjuh lak tatu ps3 used, tuwe soriaz
Unamtaji washingapi tujichange tufungue danguro
Sh ngapiMkuu nipm mimi ninayo na siifanyii kazi ipo ps3 bei kitonga mkuu
Ninayo ps3 laki 3 .Sh ngapi