Habari zenu wakuu
Nahitaji psychological treatment ila sijui pa kuipata.Mimi naishi dar
Kama kuna mtu anaeza nisaidia kunielekeza sehem/MTU napoeza pata hyo kitu naomba anielekeze au kama unaeza nisaidia kwa namna moja au nyingine please naomba unipm
Nawatakieni siku njema