Nahitaji Pumba za Mahindi na Mashudu ya Alizeti kwa Wingi

Nahitaji Pumba za Mahindi na Mashudu ya Alizeti kwa Wingi

Joined
Apr 5, 2024
Posts
81
Reaction score
117
Habari wanaJF,
Natumaini mnaendelea vizuri. Leo nimekuja kibiashara zaidi.

Kuna tenda mezani. Zinahitajika:
  • Pumba za Mahindi (Tani 74)
  • Mashudu ya Alizeti (Tani 22)
Hii ni tenda endelevu, nahitajika kusupply kila robo ya mwaka. Tunasupply kwa mikoa mitano nchini Tanzania, kwa mgawo tofauti kulingana na hitaji.

Kama unafanya biashara ya pumba na mashudu, naomba kufanya biashara na wewe,
  • Utaniambia unakopatikana.
  • Unaweza kupata nini ka kwa bei ipi.
  • Uwe tayari kuniuzia kwa bei ya Jumla, maana na mimi natafuta cha juu.
  • Uje na bei yako ya Jumla kabisa (naamini wewe ni muuzaji ambaye tayari unafahamu bei ya vitu).
  • Bidhaa uliyo nayo iwe na viwango vya juu. Pumba ziwe zimekauka vizuri, na zisiwe zimevunda. Mashudu pia yawe na quality.

Namna ya Kuwasiliana:
  • Niandikie SMS/WhatsApp +255742308110
  • Usiandike inbox ya JF, maana huwa nakuja hapa mara moja kwa siku. WA/SMS itafaa.

Dili ni ya kweli kabisa. Karibu tufanye biashara.
 
Weka Bei zako na location yako kupunguza maswali.... Maana haya kila mdau lazima akuuulizeee..
 
Back
Top Bottom