KijanaHuru
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,822
- 2,332
Hapana mkuu Home theater nshawahi pata kwa mdau mmoja hivi sema namba yake haipatikani tenaHome theater????
Au unasema yale maredio ya kupanga Eg. Sanyo, Kanewood, Sharp, Akai Au???
kuna jamaaa anauza kwa mfano unaweza pata kichwa cha sony kwa 70,000 harafu ukanunua spika zaidi ya 6 kwa 50,000Hapana mkuu Home theater nshawahi pata kwa mdau mmoja hivi sema namba yake haipatikani tena
zinakuwa used kwenye mitumba, nshawahi kupata broo
sasa ndio natafuta tena sema niliyemtumia hapatikani mda sana hadi sasa
Poa mkuuu naomba ni PMkuna jamaaa anauza kwa mfano unaweza pata kichwa cha sony kwa 70,000 harafu ukanunua spika zaidi ya 6 kwa 50,000
Nb lazima ununue tofaut tofaut ngoja nikupe namba zake
Mkuu nami naomba namba zake nahitaji kichwa cha home theaterkuna jamaaa anauza kwa mfano unaweza pata kichwa cha sony kwa 70,000 harafu ukanunua spika zaidi ya 6 kwa 50,000
Nb lazima ununue tofaut tofaut ngoja nikupe namba zake
Mkuu nami naomba namba zake nahitaji kichwa cha home theater
nami pia nahitajikuna jamaaa anauza kwa mfano unaweza pata kichwa cha sony kwa 70,000 harafu ukanunua spika zaidi ya 6 kwa 50,000
Nb lazima ununue tofaut tofaut ngoja nikupe namba zake